Timiza Ndoto Yako
Trekta linaweza kukufanyia mabadiliko makubwa katika kilimo na kukuingizia kipato tofauti na kilimo cha kawaida.
Chaguo Kubwa wa Trekta Tanzania
Fanya chaguo lako sahihi kutoka kwenye Trekta yenye uwezo mkubwa wa 4WD Tanzania! Ni rahisi kupata trekta itakayokidhi mahitaji yako kwa bei nafuu
Nunua kwa Mkopo
Sasa unaweza kununua Trekta jipya kutoka New Holland kwa kuwekeza kufanya malipo kidogo kidogo mpaka umalize na kujihakikishia unaongeza kipato wakati wa mavuno
Matengenezo Mbili Bure
Unaponunua Trekta za New Holland unapata boksi MBILI BURE kwa ajili ya matengenezo! Sio matengenezo tu bali utunzaji wa trekta lako pia tunakurahisishia kuwa na spea za ziada huhitaji kufunga safari kwenda kuzitafuta itasidia pia trekta lako kudumu kwa muda mrefu Zaidi.
Pata Taarifa Zaidi
Ili tuelewe mahitaji yako kwa umakini zaidi, tafadhali jaza fomu ifuatayo na timu yetu ya mauzo itawasiliana nawe kwa ukaribu zaidi.
Asante Sana!
Utapigiwa simu na kitengo cha mawasiliano hivi karibuni. Kaa tayari!